Skip to main content
Skip to main content

JuaCali: Muziki wa Kenya ni genge

  • | BBC Swahili
    413 views
    Duration: 5:01
    Msanii mkongwe wa muziki wa Genge nchini Kenya Paul Julius Nunda maarufu kama Juacali anasema wasanii wengi wa sasa wamepunguza bidii kwenye uandaaji wa muziki jambo linaloporomoa ubora wa kazi zao Akiwa nchni Tanzania wakati wa sherehe za miaka 30 ya Bongo fleva Jijini Dar es salaam aliambia BBC muziki ukuwa na mchango mkubwa sana kwenye maisha yake na kwamba sasa anawajivunia sana wasanii wachanga ambao wanafanya bidi na wenye nidahamu Pia Juacali anasema ni muhimu wasanii wa Afrika mashariki kufanya kazi pamoja kwani wao ni ndugu na wanahistoria ndefu. Eagan salla na taarifa zaidi #bbcswahili #kenyagenge #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw