Jubilee yapinga mswada wa fedha

  • | K24 Video
    36 views

    Chama cha Jubilee kimeahidi kuunga mkono wakenya kuukataa mswada wa fedha unaopendekezwa wa 2024. Wakiongozwa na katibu mkuu wa Jubilee Jeremiah Kioni, viongozi wa chama hicho wameikosoa serikali kwa kuwatoza wakenya kodi ya mahitaji msingi.