Juhudi za kukomesha biashara na uvutaji wa shisha zapata pigo

  • | Citizen TV
    423 views

    Juhudi za kukomesha biashara na uvutaji wa shisha nchini zimepata pigo baada ya mahakama ya shanzu mjini Mombasa, kusema ya kwamba hakuna marufuku iliyoratibiwa kihalali kwenye katiba.