Juhudi za kupeleka huduma dijitali mashinani

  • | Citizen TV
    313 views

    Serikali kupitia Mamlaka ya mawasiliano imetangaza matumizi ya shilingi milioni 131 katika awamu ya kwanza ya mpango wa kuimarisha huduma za kidijitali katika maeneo ya mashinani.