- 13,619 viewsDuration: 5:58Shughuli za kuwaokoa watu wanne waliokwama kwenye vifusi vya jengo lililoporomoka mtaani South C zinaendelea huku mtu mmoja akiokolewa. Jengo hilo la ghorofa 15 liliporomoka leo alfajiri huku waziri wa mipango maalum Geoffrey Ruku akilaumu ukiukaji sheria katika ujenzi wa jengo hili.