Juhudi zafanywa kumaliza utovu wa usalama bonde la Kerio

  • | Citizen TV
    76 views

    Katika juhudi za kupunguza migogoro inayotokana na rasilimali ambayo imezidisha wizi wa ng'ombe katika sehemu za Bonde la Kerio lenye ghasia, serikali kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Bonde la Kerio imewekeza kwenye miradi ya maji