Juhudi zaidi zinafanywa kukabili tabia ya ukeketaji kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    122 views

    Mbinu mpya ya uwajibikaji wa kijamii inanuia kuimarisha Vita dhidi ya Ukeketaji katika eneo la Kuria kaunti ya Migori. Mpango huo unaoendelezwa na Shirika la World vision unalenga kutoa mafunzo kwa zaidi ya vijana 60 amba wataunda vikundi vya kuendeleza miakakti ya kumaliza ukeketaji.