Skip to main content
Skip to main content

| JUKWAA LA AFYA | Miaka 3 ya Ruto: Kisunzi cha Afya [Part 1]

  • | Citizen TV
    208 views
    Duration: 14:31
    Sekta ya afya imekumbwa na misukosuko mingi mno Bima ya afya ya umma SHA, imekumbwa na changamoto Migomo ya wahudumu wa afya imeathiri utoaji huduma Madaktari wanafunzi wamekuwa wakilalamikia ubaguzi Tathmini ya sekta ya afya ya miaka 3 ya serikali ya Ruto Wahudumu wa afya walaumu serikali kwa kupuuza mikataba