Julius Bitok: walimu 24,000 kuajiriwa kabla ya mwisho wa mwaka

  • | NTV Video
    116 views

    Katibu katika Wizara ya Elimu Julius Bitok amesema serikali ya Rais William Ruto iko tayari kuajiri walimu 24,000 kabla ya mwaka huu kumalizika kama njia moja ya kuboresha masomo zaidi na kupunguza msongamano wa walimu waliohitimu nchini

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya