Jumba la ghorofa 7 laporomoka Kasarani, Nairobi

  • | Citizen TV
    5,210 views

    Watu watano wamejeruhiwa baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka eneo la Seasons mtaani kasarani hapa jijini nairobi. shughuli za kuwaokoa waliokwama kwenye vifusi inaendelea . mwanahabari wetu Mary Muoki anafuatilia shughuli hiyo na sasa tunaungana naye mubashara atupashe yanayojiri