- 5,749 viewsKinara wa Azimio la Umoja One Kenya Kalonzo Musyoka amewaondoa baadhi ya viongozi wa odm walioteuliwa kwenye baraza la mawaziri kutoka kwa uongozi wa muungano huo. Mbali na Azimio kumuondoa Hassan Joho na Wycliffe Oparanya, kiongozi wa wachache bunge la kitaifa Junet Mohammed naye amepigwa shoka.