Skip to main content
Skip to main content

Kakamega Homeboyz Fc inaomboleza kifo cha mchezaji Silas Abung’ana

  • | Citizen TV
    909 views
    Duration: 1:38
    Klabu ya kandanda ya Kakamega Homeboyz Fc inaomboleza kifo cha mchezaji wao silas abung’ana, ambaye ameaga dunia usiku wa kuamkia leo akipokea matibabu katika hospitali kuu ya Kakamega.