Kakamega wahudumu wa bodaboda wasema kampuni za kuuza mafuta wanayaficha ili wayauze kwa bei ghali

  • | NTV Video
    100 views

    Michezo ya shule za upili ukanda wa Afrika Mashariki inapoanza leo Kaunti ya Kakamega, wahudumu wa bodaboda kaunti hiyo wanaitaka serikali kuangazia kampuni za kuuza mafuta aina ya petroli kuachilia mafuta hayo ili kuwawezesha wao kuendelea na biashara yao.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya