Kalonzo aendelea kuimarisha mikakati

  • | Citizen TV
    732 views

    Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa atawanasua wakenya kutoka kwenye uongozi mbaya wa rais William Ruto.