KALONZO APINGA VIKALI MADAI YA KUKUTANA NA RUTO

  • | K24 Video
    1,811 views

    Kinara wa Wiper, Kalonzo Musyoka, amekanusha madai ya kukutana na Rais William Ruto kupanga kujiunga na serikali. Amesema uvumi huo hauna msingi na ameahidi kuunda muungano mpya wa upinzani kuelekea uchaguzi wa 2027.