Kalonzo asema yuko tayari kumenyana na rais William Ruto

  • | K24 Video
    64 views

    Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amesema kuwa yuko tayari kumenyana na rais William Ruto katika kinyang'anyiro cha urais 2027. Kalonzo ambaye amekamilisha ziara yake ya siku 3 huko mombasa amesema kuwa muungano wa upinzani bado uko imara na utaendelea kuiwajibisha serikali. Wakati huo huo amepinga mpango wa rais ruto kuhusu vijana wa nys kupokea mafunzo ya kutumia bunduki..