Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo atetea umoja wa azimio

  • | Citizen TV
    3,467 views
    Duration: 1:35
    Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ametetea Chama cha Azimio la Umoja One Kenya akisema bado kiko hai, siku chache baada ya mabadiliko kufanywa kwa uongozi wa muungano huu Akizungumza alipohudhuria ibada katika jimbo la Maryland nchini Marekani anakofanya ziara, Kalonzo pia amezungumzia maswala ya kitaifa na demokresia. Amewataka raia wa Kenya walio nchini humo kujisajili kama wapiga kura ili kufanya maamuzi bora kwenye uchaguzi mkuu ujao. Aidha, amesisitiza haja ya Kenya kusalia taifa linalokubali demokresia ya vyama.