- 2,101 viewsMuungano wa Upinzani umewataka viongozi wa chama cha ODM kujirejelea na kutathimini Upya uwepo wao ndani ya Serikali. Wakiongozwa na kinara wa wiper kalonzo musyoka na kinara wa dap-k eugene wamalwa, viongozi hao wamewataka wanaODM kufuata azma ya hayati Raila Odinga Kuhusu ODM kuwa na Mgombea wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027.