"Kama Mbaya...Mbaya!" wandani wa naibu rais Rigathi Gachagua wamtetea

  • | Citizen TV
    94,700 views

    "Kama Mbaya....Mbaya" Wandani Wa Naibu Rais Rigathi Gachagua Wamemtetea Wamesema Hawatakubali Naibu Rais Kudhalilishwa Naibu Rais Alikuwa Hajaonekana Hadharani Kwa Muda Kuna Ripoti Za Mfarakano Kati Ya Rais Na Naibu Rais Baadhi Ya Wanasiasa Wapuuza Tetesi Za Mfarakano Huu