Skip to main content
Skip to main content

Kamati ya Bunge kuchunguza mafuta duni KPRL, kuwahoji Waziri na One Petroleum

  • | Citizen TV
    438 views
    Duration: 3:32
    Kamati ya kawi katika bunge la seneti iimepanga kumhoji waziri wa biashara Lee Kinyanjui na wasimamizi wa kampuni ya one petroleum limted kuhusiana na sakata ya mafuta duni. Wakizungumza jijini Mombasa baada ya ziara kwenye hifadhi ya mafuta ya KPRL na kituo cha kusambaza mafuta cha Kenya petroleum, kamati hiyo imedai kuwa bado mafuta yaliyotiliwa shaka yako kwenye hifadhi ya mafuta chini ya ulinzi mkali huku uchunguzi zaidi ukiendelea.