Kamati ya bunge kuhusu fedha yafanya kikao kuhusu mswada wa fedha na wananchi 90 kutoka kaunti 47

  • | Citizen TV
    292 views

    Hisia mzeto zinaendelea kutolewa kwenye kikao cha kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mswada tata wa fedha. baadhi ya wakenya waliojitokeza leo wanapinga kutozwa ushuru zaidi huku baadhi yao wakiunga mkono mradi wa serikali ya nyumba za bei nafuu.