Kamati ya bunge la seneti yamuhoji Mkurugenzi wa kampuni ya First Choice Judy Jepchirchir

  • | Citizen TV
    1,414 views

    Kamati ya bunge la seneti leo inamuhoji Mkurugenzi wa kampuni ya First Choice Judy Jepchirchir pamoja na maelfu ya vijana waliodai kulaghaiwa mamilioni ya pesa na kampuni hiyo. Makumi ya vijana walioahidiwa kusafiri kwa ajira nchini Qatar wanadai kupoteza mamilioni ya pesa kupitia kampuni hiyo. John Wanyama yupo Eldoret na tunaungana naye kwa mengi zaidi.