- 156 viewsDuration: 1:16Kamati ya bunge kuhusu biashara, viwanda na mashirika inaendelea kudadisi suala la uuzaji wa hisa za kampuni ya simiti ya East Africa Portland's . Upande wa serikali ulikuwa na wakati mgunu wa kueleza ni vipi washikadau waliafikia uamuzi wa kuuzia kampuni ya saruji ya Kalahari hisa za Portland