Kamati ya nidhamu ya chama cha UDA yamtaka spika wa bunge la kaunti ya Kericho afike mbele yake

  • | KBC Video
    144 views

    Kamati ya nidhamu ya chama UDA imemwagiza spika wa bunge la kaunti ya Kericho Patrick Mutai kufika mbele yake kuhusiana na madai ya kukosa kutoa mwongozo ufaao bungeni siku ya ijumaa na hivyo kusababisha mkanganyiko na ghasia. Katika ukanda wa video ambao umesambaa zaidi mitandaoni, wanachama wa bunge la kaunti hiyo wanaonekana wakikabiliana vikali na kurushiana viti baada ya kutofautiana kuhusu nafasi za uongozi katika bunge hilo. Haya yanawadia huku kiongozi wa chama cha UDA rais William Ruto akitoa onyo kali kwa wanachama wa bunge la kaunti ya Kericho kuhusiana na swala hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kerichocounty #darubiniwikendi