- 446 viewsDuration: 2:18Gavana wa Kericho Eric Mutai alikuwa na wakati mgumu kueleza kamati ya seneti ya matumizi ya pesa za umma kuhusu sababu za kupungua kwa mapato ya kaunti ya kericho. Mwenyekiti wa kamati hiyo seneta Moses Kajwang alitaka kujua kilichosababisha kaunti hiyo kuacha kutumia mfumo wa kielektroniki kukusanya ushuru na badala yake kutumia madaftari.