- 953 viewsDuration: 3:32Kamati ya afya katika bunge la seneti imezuru kaunti ya Makueni na kuibua maswala kadhaa wanayotaka yaangaziwe kwani yanalemza utoaji wa huduma za afya. Kati ya masuala yalioibuliwa ni pamoja na hospitali ya rufaa ya Makueni na ile ya Mukuyuni kutokuwa na mahala salama pa kuchomea taka za hospitali, ukosefu wa magari ya wagonjwa ya kutosha kati ya miongoni mwa mengine.