- 122 viewsDuration: 1:48Uchunguzi wa kamati ya afya katika bunge la kitaifa kuhusu tuhuma za biashara haramu ya viungo katika hospitali ya mediheal umeiondolea lawama hospitali hiyo. Ripoti ya kamati hiyo hata hivyo, imefichua mapengo katika usimamizi wa huduma za upandikizaji viungo nchini.ripoti iliyowasilishwa na kamati hio bungeni haikupata ushahidi wowote wa uvunaji haramu wa viungo. Na kama anavyoarifu emily chebet, kamati hio imependekeza mabadiliko ya kisheria ili kudhibiti upandikizaji wa viungo.