Skip to main content
Skip to main content

Kambi ya matibabu bila malipo yaandaliwa Gachororo, Kiambu

  • | KBC Video
    35 views
    Duration: 2:05
    Wataalamu wa afya wamezua hofu juu ya ongezeko la magonjwa yanayohusiana na mitindo ya maisha kama vile kisukari, shinikizo la damu na aina mbalimbali za saratani ambazo zimeathiri familia kote nchini. Hofu hiyo iliibuliwa wakati wa kambi ya matibabu ya bila malipo huko Gachororo, eneo bunge la Juja kaunti ya Kiambu, ambako wataalam wa afya walifichua kuwa wakazi wengi wanapambana kimyakimya na magonjwa sugu kutokana na huduma duni za afya na gharama ya juu ya huduma za matibabu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive