Kamishna wa Data Kassait ahojiwa na kamati ya bunge ya Mawasiliano kuhusu sakata ya Worldcoin

  • | Citizen TV
    721 views

    Kamishna wa Data Immaculate Kassait anahojiwa na kamati ya bunge ya mawasiliano kuhusu usalama wa taarifa za kibinafsi za wakenya kufuatia sakata ya hivi punde ya World Coin.