Kamishna wa Kilifi Josephat Biwott aagiza kukamatwa kwa wanaoendeleza disco matanga

  • | Citizen TV
    701 views

    Kamishna wa kaunti ya Kilifi Josephat Biwott anashinikiza kukamatwa kwa familia ambazo zinaendeleza disco matanga katika maboma yao ili kuzuia visa vya mimba za utotoni kaunti hiyo