Kampeni dhidi ya dhulma za kijinsia yaendelea Samburu

  • | Citizen TV
    160 views

    Kampeni ya siku Kumi na sita ya kulemaza dhulma za kijinsia ikishika kasi, wanaharakati wa haki za mtoto wa kike kwa ushirikiano na wadau mbali mbali katika kaunti ya Samburu, wanatoa uhamasisho kuhusu madhara ya tohara ya mtoto wa kike. Wadau hao wanatoa mafunzo kuhusu njia mbadala za kumuokoa mtoto wa kike dhidi ya ukeketaji