Skip to main content
Skip to main content

Kampeni ya Be Bold, Go Gold yafanikishwa kuwasaidia watoto wenye saratani

  • | Citizen TV
    384 views
    Duration: 2:08
    Kampuni ya Royal Media Services ikishirikiana na wadhamini mbalimbali imeandaa hafla mbili tofauti Kwa manufaa ya afya ya Jamii jijini Nairobi. Faraja Cancer Support Trust iliandaa makala ya nne ya Be Bold, Go Gold 2025, kuwasaidia watoto wanaopambana na saratani. Wakati uo huo, Radio Citizen iliandaa kambi ya bure ya matibabu katika uwanja Wa Nyayo Embakasi, ambapo zaidi ya wakazi 1,000 walipata huduma.