Skip to main content
Skip to main content

Yaliyojiri mahakamani kesi ya uhaini ya Tundu Lissu. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    26,874 views
    Duration: 28:11
    Mwenyekiti wa chama cha upinzani CHADEMA Tundu Lissu ameshinda pingamizi aliloliweka kupinga upande wa mashtaka kuwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa picha mjongeo (Video Clip) kama kielelezo cha Ushahidi. Lisu aliweka pingamizi dhidi ya Riport hiyo isipelekwe mahakamani akidai shahidi huyo hana mamlaka yakisheria kwani sio mtaalam wa uhalifu wa kimtandao. #tundulissu #tanzania #bbcswahili #bbcswahilileo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw