Kampeni ya chanjo yaanzishwa Kitui

  • | Citizen TV
    87 views

    Kutokana na kuongezeka magojwa mbalimbali na haswa kichaa cha mbwa, serikali ya kaunti ya Kitui imeshirikiana na mashirika mengine kuanzisha kampeni ya chanjo ya wanyama kama vile mbwa,Ng'ombe mbuzi,kondoo na hata binandamu