- 22,517 viewsDuration: 28:10Leo Jumatatu ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mkuu kwa upande wa Tanzania bara, huku zikisalia siku mbili tu kabla ya Watanzania kupiga kura katika uchaguzi mkuu kuwachagua viongozi watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo. Mwandishi wa BBC, Elizabeth Kazibure, ametembelea mitaa ya Dar es Salaam na kuzungumza na kupata baadhi ya maoni ya wananchi. #bbcswahili #tanzania #zanzibar #uchaguzi2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu #ccm #chadema #actwazalendo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw