Kampeni zaanza rasmi Tanzania, ACT Wazalendo wakiwa mahakamani

  • | BBC Swahili
    537 views
    Kampeni za uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeanza rasmi leo hii, huku chama tawala, Chama Cha Mapinduzi CCM kikifungua dimba kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara jijini Dar es Salaam. Wakati huo huo, chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kimewasilisha kesi ramsi mahakamani kupinga uamuzi wa msajili wa vyama na tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania kumtengua mgombea wao wa urais.