Kampuni ya Base Titanium yajiandaa kuondoka Kwale

  • | Citizen TV
    1,513 views

    Wizara ya madini imebuni kamati itakayosikiza maoni ya wananchi kuhusu jinsi utumizi wa ardhi iliochimbwa madini na kampuni ya Base Titanium.