Kampuni ya China yazindua simu aina ya smartphone

  • | VOA Swahili
    357 views
    Kampuni ya China yazindua simu aina ya smartphone ambayo wanasema inatumia teknolojia ya kipekee. Ungana na mwandishi wetu akikuletea aina mbalimbali za simu ambazo zitaingia katika soko la ushindani wa simu duniani. Endelea kusikiliza... #kampuni #china #huawei #simu #smartphone #teknolojia #ushindani #sokolasimu #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.