- 191 viewsUpendo Kibona, Mkurugenzi wa Kampuni ya Lucid Dream Limited, anasema kuwa madini ya Tanzania yanapouzwa ndani pekee, thamani yake inabaki kuwa ndogo. Alisisitiza kuwa ni muhimu wanunuzi wa kimataifa washiriki moja kwa moja kwenye minada nchini. "Tunaogombania haya madini ni Watanzania sisi wenyewe. Wale watu wa nchi za nje wakija hapa Tanzania kuyanunua haya madini, ndio pale tutapata masoko ya kuyauza nje ya nchi. Lakini yanaponunuliwa kwa Watanzania wenyewe, inakuwa ni ngumu kuwa na thamani kubwa," alisema Kibona. Wanunuzi wanasema kuwa kuanzishwa kwa mnada huo wa kidijitali utasaidia kurudisha na kuongeza thamani ya madini nchini kwa kuimarisha ushindani sokoni na hivyo kusaidia wanunuzi hao kupata bei nzuri. Ripoti ya Amri Ramadhani, VOA, Tanzania. #tanzania #mfumo #kidigitali #madini #ununuzi #uuzaji #sokolabidhaa #nicholauskaserwa #mererani #manyara #mkoa #voa #voaswahili #luciddreamltd
Kampuni ya Lucid Dream Ltd inasisitiza umuhimu wa wanunuzi wa nje
- 7 Aug 2025 - Kericho Governor Erick Mutai once again faces an impeachment attempt, barely a year after surviving a similar bid in the Senate.
- 7 Aug 2025 - A man believed to be behind a string of brutal murders in Gem Yala sub-county in Siaya was apprehended and later lynched by members of the public.
- 7 Aug 2025 - The late MP was a trailblazer on many fronts.
- 7 Aug 2025 - The operation was a joint effort between police and KWS.
- 7 Aug 2025 - The arrests were made during an operation on Wednesday night.
- 7 Aug 2025 - They have been summoned over the irregular transfer of the government land.
- 7 Aug 2025 - The ministers of defence and environment died in a military helicopter on Wednesday.
- 7 Aug 2025 - By the end of 2025, 1,000 goats and sheep are expected to be distributed unger the Hope Project
- 7 Aug 2025 - A fully loaded matatu overturned on Waiyaki Way in Nairobi.
- 7 Aug 2025 - Customer requests on the Company’s USSD Code *977# increased by 13.58% from 1.62 million to 1.84 million