Skip to main content
Skip to main content

Kampuni ya maji GAWASCO yasema maji yatapungua Garissa

  • | Citizen TV
    168 views
    Duration: 1:23
    Kampuni ya kusambaza maji ya Garissa GAWASCO, imetoa ilani kwa wateja wake kuwa kutakuwa na uhaba wa maji katika mji huo kutokana na ujenzi wa daraja katika barabara kuu ya Garissa kuelekea Nairobi.