Kampuni ya Royal Media Services yadhamini matibabu bila malipo Mombasa

  • | Citizen TV
    163 views

    Wakazi wa Likoni kaunti ya Mombasa wana kila sababu ya kutabasamu baada ya Kampuni ya royal media service kuleta huduma za matibabu bila malipo katika eneo hilo. Zaidi ya watu elfu 3 wamefaidi matibabu hayo ambapo RMS imeshirikisha na mashirika mbalimbali kutoa matibabu kama shukrani kwa watazamaji na wasikilizaji wa vituo vya televisheni na radio vya kampuni hiyo.