Kampuni ya Royal Media yaandaa matibabu ya bure

  • | Citizen TV
    199 views

    Kampuni ya Royal Media Services ikishirikiana na hospitali ya matibabu ya mifupa ya st. Peters iliandaa kambi ya matibabu ya bure katika bustani ya jevanjee jijini nairobi. msimamizi wa radio citizen Tina Ogal akisisitiza umuhimu wa shughuli kama hizi kama njia ya kutangamana na wasikilizaji wa radio hiyo ambayo inazidi kuongoza nchini kwa mujibu wa tafiti mbalimbali.