Kampuni ya Safaricom inasherehekea miaka 24

  • | Citizen TV
    320 views

    Kampuni ya Safaricom kwa ushirikiano na Royal Media Services imeanza rasmi ziara ya wiki tano kote nchini almaarufu “Safaricom sambaza furaha” kusherehekea miaka 24 tangu ilipoanza kutoa huduma zake nchini.