Kampuni za kibinafsi za usalama kusajiliwa na serikali kuu

  • | Citizen TV
    531 views

    Serikali imeanzisha mradi wa kusajili kampuni za kibinafsia za walinda usalama nchini huku ikinuia kuunda na kuhifadhi data inayojumuisha walinda usalama wote nchini