Skip to main content
Skip to main content

Kampuni zinazotumia kemikali kusafisha dhahabu zalaumiwa kwa kutumia kemikali hatari Suna Mashariki

  • | Citizen TV
    310 views
    Duration: 1:46
    Wakazi katika eneo la namba kaunti ndogo ya Suna Mashariki wameghadhabishwa na ongezeko la Kampuni ya kusafisha dhahabu Kwa kutumia kemikali ambazo zinadhuru afya ya binadamu na kuchafua mazingira. Wakazi hao wanaeleza kuwa Kampuni hizo za kusafisha dhahabu kwa kutumia kemikali zinaendelea kuhatarisha maisha Yao kwani hawana njia maalum ya kutupa takataka . Haya yanajiri baada ya ng'ombe 12 kufa baada ya kunywa maji chafu Kutoka katika Kampuni Moja ya kusafisha dhahabu katika eneo Hilo.....