Kanisa la AIPCK katika kaunti ya Kiambu latoa pendekezo kuhusu elimu ya uzazi katika mtaala wa CBC

  • | Citizen TV
    171 views

    Viongozi wa Kanisa la AIPCK kaunti ya Kiambu sasa wanapendekeza kusitishwa kwa mafunzo ya afya ya uzazi kwa watoto wa gredi ya saba kwenye mtaala wa CBC. Viongozi hawa wakiongozwa na askofu mkuu Dakta David Gatimu wakizungumza eneo la Githunguri wanasema kuwa, watoto hawa ni wadogo kuanza kufunzwa masomo ya ndani. Wanapendekeza masomo hayo kuanza gredi ya tisa.