Kanisa la kianglikana laibua wasiwasi kuhusu uongozi nchini

  • | KBC Video
    9 views

    Muungano wa makanisa ya kievanjelisti sasa linataka wabunge ambao kwa wakati huu wako kwenye likizo kurudi bungeni na kuongoza shughuli ya kubuni tume mpya la uchaguzi na mipaka- IEBC. Wakihutubia taifa, viongozi wa muungano huo walisema kuna dosari kwenye jitihada za wabunge za kujumuisha hazina mbali mbali zikiwa ni pamoja na hazina ya ustawi maeneo bunge CDF kwenye katiba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive