Skip to main content
Skip to main content

Kanisa la witima latakaswa kufuatia uvamizi, Askofu Muriithi ataka uchunguzi kuharakishwa

  • | Citizen TV
    2,066 views
    Duration: 1:35
    Hafla maalum imeandaliwa katika kanisa la ACK Witima eneo la Othaya, kaunti ya Nyeri imeandaliwa kwa kile viongozi wa kanisa hilo wanasema ni kulitakasa, kufuatia uvamizi wa mwezi jana. Hafla ikifanywa ili kuhakikisha kuwa matukio ya kuvamiwa kwa waumini kanisani hayatoshuhudiwa tena