Kanye West aingia tena katika mzozo, Twitter na Instagram zamfungia

  • | VOA Swahili
    275 views
    Kanye West akosolewa kwa kuvaa fulana ya white lives matter na pia aliwahi kutoa kauli ya utata kuwa utumwa ulikuwa ni chaguo. Lakini hivi sasa ameingia tena katika mzozo mwengine na kufungiwa akaunti zake za Twitter na Instagram kutokana na mitandao hiyo ya kijamii ikidai posti zake zinakiuka sera zao. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.