Kati ya wanawake 10, ni wawili tu ambao wana uwezo wa kumiliki ardhi katika kaunti ya Taita Taveta

  • | Citizen TV
    580 views

    Kati ya wanawake 10, ni wawili tu ambao wana uwezo wa kumiliki ardhi katika kaunti ya Taita Taveta. takwimu za mwaka jana za shirika la kutetea haki za kibinadamu kaunti hiyo zimewatamausha wengi na kuchochea kampeni ya kutoa hamasa miongoni mwa wanawake ili watambue Sheria na haki zao za umiliki wa ardhi ili kumaliza umaskini.